Baada ya kutoa mimba, ninaishi maisha ya furaha kwa masharti yangu mimi Kipindi moja: Marème from mimi ni Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: Marème kwa sasa anaishi maisha ya kujitegemea kwa masharti yake mwenyewe, lakini hapo mbeleni maisha yake yalikuwa magumu sana. Kama Marème, wanawake wanajua ni wakati gani mzuri wa kuwa na watoto na ni wakati gani mzuri wa kuchagua njia nyingine tofauti ya maisha.nnUtoaji mimba ni chaguo, na ikiwa unataka kujifunza zaidi juu ya njia tofauti za utoaji mimba zilizoidhinishwa na Shirika la Afya Ulimwenguni, tembelea: https://safe2choose.org/sw/